james mbowe

James Mbowe Nyondo (14 May 1968 – 17 July 2015) was a Malawian lawyer, development worker, and presidential candidate. He was born in Chitipa, Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    SI KWELI Kwenye ukurasa wa Lema wa X (Twitter) ameandika Mbowe na mwanae wasusa CHADEMA, wagoma kumpa vifaa Lissu kwaajili ya mapokezi ya singida Februari 15

    MBOWE NA MWANAE WASUSA CHADEMA WAGOMA KUMPA VIFAA VYA MKUTANO LISSU. Mtoto wa Mbowe (James Mbowe) ambaye ana kesi ya Madai Mahakamani kwa kosa la kutowalipa Mishahara wafanyakazi wake zaidi ya miaka 3 leo ana muhujumu Lissu kwa kumnyima vifaaa vya Mziki na Jukwaa kwa ajili ya Mkutano wake wa...
  2. M24 Headquarters-Kigali

    James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

    1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee. 2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA? 3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
  3. B

    Akemewe James Mbowe kwa kuitisha uungwaji mkono kwa mgombea kwa misingi ya kikabila!

    Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko: Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake. Soma Pia: James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga Zaidi sana huku matambiko si mahali pale. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi...
  4. M

    Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  5. sonofobia

    James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

    Nimetafakari kwa kina tabia aliyoonyesha ndugu Lema jana siyo Tabia za Wachaga Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.
  6. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 James Mbowe: Serikali imechangia Wananchi Kudharau Uchaguzi, Tulienguliwa kwa Sifa ya Kutokujua Kusoma na Kuandika

    Mwanachama wa CHADEMA James Mbowe, amelaumu serikali kwa kuunda mazingira yanayowafanya wananchi kudharau mchakato wa uchaguzi. Akizungumza na Jambo Tv, Mbowe ameeleza kwamba wananchi wengi wanajua ni nani wamemchagua, lakini hawajawahi kujua matokeo halisi ya uchaguzi, hali ambayo inachangia...
  8. chiembe

    Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

    Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
  9. chiembe

    James Mbowe ameonesha ana kipaji kikubwa cha uongozi, achukue fomu kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa akaiva, na amekuwa mstari wa mbele katika harakati za chama. Nashauri CHADEMA wafikirie kumpa Uenyekiti...
  10. J

    James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

    Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa. === "Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii...
Back
Top Bottom