jamii

  1. Natafuta Ajira

    Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  2. mcTobby

    Watengeneza maudhui huko x kumbe kuna muda wanachukua content humu jamii forum?

    Hilo nimelibaini katika pitapita zangu huko twitter. Na kingine na maana ubunifu wa kutengeneza maudhui umeisha hadi content nyingi ziwe zina relate tu na mambo ya uasherati na uzinzi🤔
  3. Rorscharch

    Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  4. Pdidy

    Hizi simu mnazokamata kwa matapel nashauri zigawiwe kwa jamii kusaidia mawasiliano kama yatima na wajane

    Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama vituon vya YATIMA wajane na wenye kutunxa walioathirika na ...na wale wanaotunza wazee
  5. Mshana Jr

    Kifaduro na kisonono cha wakataa ndoa, zimwi la kuogopwa sana kwenye jamii

    Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂 Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata...
  6. R

    Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  7. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  8. Mshana Jr

    Makala zenye mafunzo na faida kwa jamii

    China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu mazingira. 🌏 Maendeleo endelevu ni siku zijazo! 💚
  9. drugdealer

    Lake Zone ni zone pekee nchini inaweza jitegemea na kuwa nchi

    Amini kwamba hii zone imebarikiwa kila aina ya rasilimali hata pia idadi ya watu . Ni dhahili kua inaweza kua nchi na kujitegemea
  10. Mr Anova

    Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  11. Light saber

    Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

    Habari wanajamvi, Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko. Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
  12. Pdidy

    Wana Yanga Tumejiandaa kwa Maombi ya Mheshimiwa Rais na Taifa Tarehe 8 Machi, Mungu azidi kumlinda

    Wana YANGA mpooo Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu Tar 8 MARCH... Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
  13. Intelligence Justice

    Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamguri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  14. Mungu niguse

    Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
  15. JamiiCheck

    Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

    Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati. Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
  16. dorge

    Kupiga kura katika jamii ambazo zinagombania madaraka

    Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
  17. U

    Ustawi wa jamii

    Naomba nichangie suala linalohusiana na ustawi wa jamii. Siku za karibuni kuna utafiti nimefanya ambao sio rasmi lakini kwa takwimu na matukio niliyobaini inanisukuma kuandika hapa jukwaani. Kwa hapa Dar es Salaam naona kuna ongezeko kubwa la watoto wa mtaani. Hawa watoto wanazaga ovyo mchana...
  18. Wauzaji wa containers

    Kuna haja ya wazazi kuwaaandalia watoto wao mazingira ya kazi kama ilivyo jamii za kipemba ,kiarabu na kihindi.

    Nimefatilia Sana na kuangalia mtu Amalia machozi na wengine wakianzisha umoja wao wa Majobless ili kuendesha harakati za kudai Ajira. Ni kweli serikali inabidi kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi ya kupunguza hili tatizo hata kwa asilimia kadhaa . Ila kubwa kuliko ni wazazi kuwa na uwezo wa...
  19. Balqior

    Kwanini mwanaume anaemuoa mdada golddigger, anaheshimika kwenye jamii, ilhali mwanaume anaenunua dada poa wanaojiuza barabarani, jamii inamdharau?

    Habarini, Kuna social construct nimeiona kwenye jamii Mimi binafsi na great thinkers wengine tunaamini kuwa hamna tofauti kati ya golddigger (mdada anaekupendea hela) na mdada anaejiuza barabarani, sababu wote wawili wana-sex na wewe sababu unawapa hela, usingekua na hela wasingekupa...
Back
Top Bottom