Kingdom Bank Limited (Kenya), formerly Jamii Bora Bank, is a commercial bank in Kenya. It is one of the commercial banks licensed by the Central Bank of Kenya, the national banking regulator.
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Salaam jamiiforum
Mimi ni mtu mzima sasa, Baba wa familia,naweza kuwa sipo sawa Kwa mambo mengi,ila nimeruhusu kukosolewa na kuimarisha uhusiano na jamii kiujumla.
Threads zangu nyingi zinamlenga kijana wa kiume,si kwamba nimemuacha mtoto wa kike,la hasha.
Nimeanza na shina kwanza...
Sato mkubwa mwenye kilo 3 abanikwe naviungo na chumvi ya wastani mpaka akauke vizuri, halafu atengwe kwenye meza ya Dr Janabi na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeni iliyotengenezwa kwa ustadi.
Nawatakia usiku mwema.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje ya chama. Ni watu wenye taswira Mbaya sana kwa jamii na wasiokubalika wala kuungwa mkono kwa...
Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi.
Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua...
Kuna App nimeikuta Play Store inaitwa e-livestock Auction, inatoa huduma za kutangaza bidhaa za Mifugo na pia inakupa furusa ya kumpata Muuzaji Kwa njia ya Simu pia inakuonyesha umbali alipo na muda unaweza kutumia kumfikia.
Naona Masharti ya kujiunga ni ama kutumia namba ya simu ya mkononi ama...
Ni asubuhi umeamka zako na unajiandaa kwa ajili ya kwenda kazini ila ghafla unasikia sauti yenye ukali mlangoni kwako ikikutaka utoke nje, unaamua kufungua unakutana na mtu ambaye amevaa jeans na jezi ya Man United pamoja na kofia nyeusi ya New York. Anajitambulisha kuwa yeye ni afisa wa Polisi...
Na; Mwandishi Wetu - DODOMA
BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao.
Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
Mimi simjui huyu mtu ila mpaka media zinamwita kufanya naye mazungumzo bila shaka ni mtu maarufu katika jamii.
Anatoa uongo kwa manufaa ya nani?
Ni kweli sasa bodaboda wamekuwa wengi sana.
Kila kwenye stand ya daladala kuna stop ya bodaboda, kila kwenye soko, makutano n.k kuna stop ya...
Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana.
Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto.
Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache yafuatayo:
■kufanya abortion iwe halali
■Kusambaza vitabu vya ushoga na utupu kwa wanafunzi wa primary...
Dhana hii ya 50/50 ni dhana iliyoletwa hapa duniani na watu wenye nia ovu .Si kwamba nawadharau wanawake hapana, kiasili, kiutamaduni na hata kiimani hakuna sehemu kunako sisitiza usawa kati ya mwanamke na mwanaume.
Niishairu jamii irudi katika misingi yetu Mwanamke aongozwe na mwanaume na...
JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii.
Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
For the benefit of all those in Rio Linda 🤣, let’s begin by defining what colorism is;
differential treatment based on skin color, especially favoritism toward those with a lighter skin tone and mistreatment or exclusion of those with a darker skin tone, typically among those of the same racial...
Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.