Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan ,Shukrani tulikubaliwa na masomo yaliendelea Napenda kutoa shukrani zangu za Dhati kwa Prof.Fredrick...