Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka Tanzania
Shindano hilo liliandaliwa na Marekani kupitia Ubalozi wake nchini ambapo JamiiForums...
Wakuu,
Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi.
Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
Serikali ni muhimili mkuu unao jitegemea katika katika nchi ambao upo kwa ajili kuongoza ,kutawala na kusaidia watu wake . Serikali inahusika katika kufanya kazi zifuatazo , Kukusanya mapato , kujenga miundombinu ( Barabara , shule , Hospitali , kutetea watu wake na Mali zao .
Yafuatayo ni...
Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya...
Habari, ya kutwa mwanzo wa juma kabisa siku ya hangover kazini za weekend nzima
Mimi kwa majina ndo haya haya mnayoyaona
Nimekutana na changamoto ya wizi wa dakika kutoka mtandao wa vodacom
Nilijiunga kifurushi cha wiki cheka ya tsh 30,00 ambapo hupata dakika zenye nchanganuo wa matumiz...
Vichwa vya habari vinaweza kuwa sehemu muhimu katika kusambaza habari potofu kwa sababu vinaweza kuvutia umakini wa wasomaji, kuchochea hisia, na hata kutoa taswira isiyo sahihi ya habari kamili.
Katika dunia ya sasa ambayo teknolojia ya habari imekua kwa kiasi kikubwa, baadhi ya watu wanaweza...
Deepfake ni aina ya ubunifu wa kidigitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) kubadilisha au kuunda picha, sauti na video ambazo huonekana kama ni za kweli, lakini zimeundwa kwa njia bandia. Jina "deepfake" linatokana na maneno mawili: "Deep learning" (kujifunza kwa kina), ambayo ni aina...
Usambazaji wa taarifa potofu umekuwepo kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Hata kabla ya teknolojia ya kisasa na mitandao ya kijamii, watu wamekuwa wakisambaza taarifa za uongo au potofu kwa njia tofauti, kama vile kupitia vyombo vya habari, mdomo, au vyanzo vingine vya habari.
Hata...