Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya...
Hali zenu Ndugu zangu hakika mpo sawa kiafya kwa uwezo wa Mungu Kikubwa Naomba mnijuze hospital nzuri yenye huduma za Kubadilisha meno Na kuweka bandia inagharimu kiasi gani cha pesa.
Naombeni Msaada mwenye kujua, Nipo Dar Es salaam.
Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati ya watoto saba.
Familia haikuwa na amani sana mwanzoni kwa sababu ya ulevi uliopindukia na msongo...
Msaada jamani kwa anaefaham dawa ta kutibu migrain na Tinnitus.
Yaani kichwa kuuma sana upande mmoja au kwa nyuma juu ya shingo na kupata sauti flan ndani ya kichwa au masikio
Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku!
Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi.
Shukrani, nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.