Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao.
Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya...