jamii forums

  1. Mr Anova

    Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  2. 1Afica54

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania

    Mchango wa Jamii Forums Katika Maendeleo ya Vijana na Taifa la Tanzania Jamii Forums, jukwaa maarufu la majadiliano na taarifa, limekuwa na athari kubwa katika kuhamasisha, kuelimisha, na kuendeleza vijana wa Tanzania. Kupitia majukwaa yake mbalimbali, Jamii Forums imeweza kuchangia katika...
  3. Light saber

    Je Jamii Forums ina Premium Contents, kama zipo utaratibu umekaaje Kuweza kuaccess premium contents?

    Habari wanajamvi, Mimi pekee au Kuna wengine ambaao wanajionea kuwa contents za Jukwaa letu hili Siku hizi hazina mashiko. Baada ya kuliona hili nimechukua hatua ya kuuliza kama zipo contents premium naomba moderators Mtufahamishe.. na Namna ya kuziaccess
  4. Mshangazi dot com

    Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

    Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie. Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake. Kiufupi, alikuja kuniomba nimuazime pesa na atanirudishia baada ya wiki mbili. Nikamuuliza kulikoni...
  5. Mshana Jr

    JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

    Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪 Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia...
  6. GANJIBHAAI

    Wadada wa JamiiForums naomba mpokee maua yenu

    Kwanza kabisa naomba nianze kwa kusalimia Wakubwa zangu Shikamoo, wadogo zangu Marahaba, Mashangazi Chei chei!, Nimejiuliza sana hivi mliwezaje kujiunga na JamiiForums, maana nimejaribu kufanya tafiti kwenye jamii inayonizunguka simuoni mdada anayefanania kuwa na akaunti JF, wengi wao...
  7. kimboideas

    Hodi hodi JamiiForums

    Habari ya wakati huu mabibi na mabwana. Baada ya kuingia mtumiaji wa jamiiforums bila account kwa kipindi kirefu hatimaye leo nimejiunga rasmi. Asante.
  8. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  9. Teko Modise

    Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  10. Tate Mkuu

    Nawatakia wana JamiiForums wote heri ya mwaka mpya 2025

    Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa 2024. Natambua fika tumepitia mengi ndani ya mwaka wote huu. Wako ndugu na jamaa zetu wengi kwa namna...
  11. M

    KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  12. farfat

    Asanteni wana jamii forums wote kwa michango yenu ya kimawazo

    Kwanza kabisa nipende kuwashukuru nyote kwa habari motomoto vituko,na vimbwanga vya maisha yetu ya kila siku.. kwa hakika jukwaa hili limenifunza mengi toka nijiunge mwaka 2021 mwezi June. Hata pale nitakapo jiona mpweke ninaweza kuingia ktk jukwaa hili na kujihisi nimezungukwa na marafiki...
  13. Sina Ndugu

    Nimefanikuwa Rasmi kufungua akaunti ya Jamii Forums leo .

    Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
  14. Dkt. Gwajima D

    Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

    Salaam kwenu wanajukwaa. Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee. Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali. Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu...
  15. BrainOs

    JamiiForums wametuweza! Nilikuwa natembelea kama 'guest' tangu 2017

    Bhana leo asubuhi nikiwa napitia jukwaa mbalimbali hapa hapa JF nikapata alert kwamba nimebakiza ku-view post 5 kama guest Nikachukulia mzaha nikaendelea ku-view post mbalimbali ghafla napata ujumbe siwezi tena ku-view kama guest hivyo nifungue account Bila hiyana nikafanya hivyo, nimekuwa...
  16. chibe dayo

    Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  17. 650

    📌UKUMBUSHO WA LEO

    Alitokea mzee mmoja na mwanae walikuwa wanasafir kwa kutumia punda so wakaamua kupanda wote kwenye huyo punda. Wakiwa njian wakakutan na kundi la watu likawaambia watu gan nyie msiokuwa na huruma yaan nyote wawil mnapanda kwenye punda mmoja . So mzee akaona isiwe kec wala nn akashuka akamwacha...
  18. MIXOLOGIST

    MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  19. T

    JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  20. ngara23

    Niko addicted na JamiiForums

    Aisee humu JF Kuna nini. Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k. Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi Naipenda JamiiForums mno
Back
Top Bottom