jamii forums members

  1. kelvinmpinga

    SoC04 Tanzania tuitakayo:Maono ya kibunifu kwa uchumi endelevu wa tanzania na fursa kwa vijana

    Tanzania ya baadaye inaangazia mwelekeo wa uchumi endelevu unaoweka msisitizo mkubwa katika kuleta fursa za ajira na ujasiriamali kwa vijana. Kupitia mipango ya kibunifu na utekelezaji wa sera makini, tunalenga kujenga uchumi imara ambao unawanufaisha wananchi wote, hususan vijana. Hapa ni maono...
  2. C

    SoC04 Kabla ya kuwaza jinsi gani ya kuiboresha Elimu zaidi nchini, tuiheshimu na tuipe nafasi Elimu tuliyonayo sasa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchi

    Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
  3. Jsam De prince

    Hello

    Hello 👋 naipenda Jamii Forums
  4. D

    SoC03 Uwazi, uwajibikaji, usawa na kuzingatia sheria na kanuni huleta uongozi bora katika michezo

    Michezo imekuwa sehemu muhimu sana katika jamii yetu hivi sasa. Inawezesha watu kujenga afya na kuwa na uhusiano mzuri na wengine. Hata hivyo, michezo haitakuwa na maana kama haitaendeshwa kwa njia bora. Utawala bora katika michezo ni muhimu sana ili kuhakikisha kuwa kila mchezaji anapata haki...
  5. D

    SoC03 Je, wajua afya bora katika jamii inaanza na mimi na wewe?

      Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba uwajibikaji wa kiafya hauhusiani tu na kujali afya yetu binafsi, bali pia kwa kugusa sehemu kubwa ya...
  6. K

    SoC02 Sababu za kukua kwa lugha ya Kiswahili Kimataifa na kudumaa nchini

    SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
  7. Max Mwinuka

    SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  8. James Godfrey

    SoC02 Matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuhifadhi mazao ya kilimo yanayoharibika haraka mfano matunda na mboga za majani

    MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda kununua mahitaji kwaajili ya matumizi ya wiki katika soko la mabibo jijini Dar es salaam, lakini...
  9. G

    SoC02 Ukosefu wa ajira, jiongeze kukuza kipato

    Ajira! Ajira! Ajira! Nimekuita mara tatu kwa maana umekuwa hafifu katika mboni za macho ya vijana wengi. Nikikumbuka wosia tofauti za babu na wazazi wangu, kichwa kinazidi kuchanganya zaidi huku nikitafakari maana yao ilikuwa ipi. Namkumbuka pia mwalimu wangu wa Kemia na Baiolojia yule wa...
  10. Fantastic boy

    Hello! Habari zanu wana familia ya JF

    Jina langu naitwa Elikana Nikodemo Elikana, Kiukweli nafarijika sana napokuwa humu japo nilikuwa bado sijajiunga rasmi ila sasa nashukuru tupo pamoja...!! Ahsanteni sanaaaa Pia binafsi ningependa kuomba ushauri..!! Mimi ni kijana ninayeamini sana kupitia sanaa itanifikisha katika malengo na...
  11. Dumas the terrible

    Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

    Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua, Husika na kichwa habari hapo juu, Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini...
Back
Top Bottom