jamii ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Jamii ya Tanzania hasa inayoishi Jiji la Dar es salaam inaoza taratibu: Ushahidi unatoka katika jaribio la sayansi jamii lililofanyika 1968 - 1970

    Kati ya mwaka 1968 na 1970, mtafiti wa tabia za wanyama, John B. Calhoun, alifanya jaribio maarufu liitwalo "Universe 25", ambapo alichunguza maisha ya panya waliowekwa kwenye mazingira ya anasa yasiyokuwa na hatari wala uhaba wa rasilimali. Pamoja na kuwa na kila kitu cha kuhitaji, jaribio hilo...
Back
Top Bottom