Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa.
Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali za humu jamii forum na kuvutiwa na watu kadha hasa mwanadada To yeye , na...