jamiicheck

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

    Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati. Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
  2. JamiiAfrica, Wadau wa Habari wabadilishana uzoefu wa umuhimu wa taarifa zenye maslahi kwa Umma

    Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ya siku moja...
  3. SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  4. J

    Umewahi kupiga kura kutokana na taarifa ambayo baadaye ulikuja kugundua ni uongo?

    Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura. Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
  5. JamiiForums yatoa mafunzo kwa Wadau wa Habari kuhusu umuhimu na njia za Uhakiki wa Taarifa

    Julai 26, 2024, JamiiForums ikishirikiana na The Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari kama sehemu ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao. Washiriki walifundishwa athari...
  6. Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  7. G

    KERO Serikali ifuatilie Chuo cha maendeleo ya wananchi Same (FDC) hakitoi vyeti kwa wakati

    Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo wanalalamika kukosa vyeti mpaka sasa na hawaoni ufatiliaji wowote ule kutoka kwa uongozi wa chuo hicho.
  8. Jambo gani la kijamii umekuwa ukilisikia, bila kupata majibu JamiiCheck ilifanyie uhakiki?

    Jukwaa la Jamiicheck lipo mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa ili kujua kama ni kweli, uzushi au nadharia. Hukuwezesha raia kufanya uhakiki kwa kuweka maudhui ndani ya jukwaa yanayotakiwa kuhakikiwa na kutoa mchango wa kuhakiki taarifa hizo kwa kile wanachokifahamu. Je, ungependa...
  9. Link zisizo sahihi zinaweza kutumiwa na Waandishi katika kupotosha Taarifa

    Link zinazowekwa kwenye taarifa zinaweza kutumika kwa njia kadhaa kuchangia upotoshaji wa taarifa kwa kuwaunganisha wasomaji kwenye tovuti zisizoaminika au zinazojulikana ili kutangaza habari za uwongo. Hii inaweza kuongeza uaminifu wa habari hiyo kwa watu wasiojua ukweli. Mathalani, 'links'...
  10. Hatua za kuchukua unapohisi Taarifa ni Potofu

    Baada ya kukutana na taarifa yoyote unayoitilia shaka, kuna hatua kadhaa unaweza kuchukua ili kujiridhisha uhalali wa taarifa hiyo. Kuchukua hatua za haraka na kutoa habari sahihi ni muhimu ili kuzuia kuenea kwa habari feki au gushi. Hizi ni baadhi ya hatua za kuchukua unapokutana na taarifa au...
  11. Karibu JamiiCheck ufanye uhakiki wa Taarifa mbalimbali zinazopatikana ndani na nje ya Mtandao

    JamiiCheck ni Moja kati ya Majukwaa yanayopatikana ndani ya tovuti ya JamiiForums.com. Jukwaa hili limewekwa mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki, kutafuta uthibitisho au uhalisia wa habari, taarifa, matukio, picha au video mbalimbali zinazojitokeza au kuibuka kutoka katika vyanzo mbalimbali...
  12. SI KWELI Tanzania ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia, Musenge Mukuma kutokana na kuwa na Jina lenye Tafsiri Mbaya kwenye lugha ya Kiswahili

    Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa kuwa Jina lake linatoa tafsiri Mbaya Katika Lugha ya Kiswahili. Andiko la aina hii liliwahi pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…