Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto.
8. Najua matumizi sahihi ya R na L.
9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.
10. Mpenzi wa simba SC...
Shalom watu wa Mungu.
Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima.
Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na...
Shalom watu wa Mungu.
Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia.
Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ?
Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu.
Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
NASHUKURU SANA UONGOZI WA JAMIIFORUMS KWA KUNITAMBUA KAMA MOJA YA WANACHAMA WENYE MCHANGO KWA MWAKA 2024.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii kwangu niite heshima ya pekee. Kutambulika na kutambuliwa ni jambo kubwa ambalo wanadamu wengi hulipenda na kulitafuta.
Mimi kama Taikon nimefurahi...
Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana ...
Wakuu salama!
Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.
Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.
Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum?
Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi weka jina la member unayemfwatilia humu.
Binafsi nawafwatilia wengi almaarufu ni Pascal Mayalla...
Habari, Wakuu humu jamii forum
Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used.
Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo
TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala.
Jamiiforum kimnya
TBS...
Na. Jofreyson1
TANZANIA TUITAKAYO: picha na azam news
Kuwekeza KATIKA KILIMO NA VIWANDA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA
Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi za kilimo zinazoweza kuimarisha uchumi wake. Katika kuelekea kwenye Tanzania tuitakayo, ni muhimu kwa serikali kuwekeza kwa kina katika...
Kuna uzi unazunguka humu ukikosoa analysis ya mwanajamiiforum mwenzetu OKW BOBAN SUNZU kuhusu mchezaji Aziza Ki sisi kama wanasimba tunamuona Okwi kama shujaa wetu kwakuwa amepigwa mawe sana na bado ameendelea kuwa stable. Na ule uzi umempa heshima ya kuthaminika tofauti na wakosoaji wake...
Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini.
Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa.
Jamii Forums miaka sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.