TEHAMA NA TANZANIA YA KESHO:
Teknolojia ni elimu ya utengenezaji, utumiaji wa vifaa vya maarifa, mashine, mifumo au njia zitumikazo kutatua tatizo kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa jambo Fulani katika jamii. TEHAMA ni kirefu cha technolojia ya habari na mawasiliano, inajumuisha vifaa mbalimblai...