Elimu ni ile hali ya kusambaa kwa maarifa,akili,ubunifu,uwezo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine, au kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Pia Elimu ni msingi mkuu wa maendeleo katika kila shughuli husika katika nchi yetu, kwani kupitia elimu tunaweza kupata wataalamu wa...