jamiiforums.com

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Gwajima: Majukwaa kama JamiiForums.com yanaibua Sauti za Wananchi na kuongeza uwajibikaji

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na kuyafanyia kazi amesema kuwa majukwaa ya Kidigitali yanasaidia kuongeza uwajibikaji sambamba na kuisongeza...
  2. SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  3. Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…