Habibu Mchange, Mkurugenzi Mtendaji wa magazeti Jamvi la Habari, Times Observer, Tanzania Bora na mengineyo amedaiwa kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kigamboni kwa saa kadhaa.
Inadaiwa kuwa Mchange aliitwa TAKUKURU Ijumaa saa tatu asubuhi baada ya siku ya...