jana

Jana Sena or Jana Sena Party (JSP) (People's Army Party) is an Indian Regional political party based in Andhra Pradesh and Telangana, India. It was founded by Tollywood actor and politician Pawan Kalyan on 14 March 2014. Jana Sena means "People's Army" in Telugu. The motto of the party is "fight for the rights of each and every common person".

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Jana Huko Chigali (Rwanda) kulikuwa na burudani ndani na nje ya uwanja!

    Jana Wananchi aka Utopolo walipata burudani ya kutosha ndani na nje ya uwanja. Hongereni watani kwa ushindi. Mlistahili kwa kuwa mna timu nzuri.
  2. Apple Event 2023 ilifanyika jana, ni yapi maoni yako?!

    Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi ulimwenguni ya titanium kwenye iPhones, ambayo yanatumika pia kutengeneza spacecraft.
  3. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba ( 7 ) hadi Kumi ( 10 ) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live ( Mubashara ) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  4. Hivi iliyofuzu AFCON 2024 Jana nchini Algeria ni Taifa Stars au Rais Samia?

    Na kama Jibu ni Taifa Stars sasa kwanini kila Kiongozi akizungumza baada ya Kufuzu AFCON Jana anatumia Sekunde 20 Kuipongeza, ila anatumia Dakika Saba (7) hadi Kumi (10) Kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan? Leo GENTAMYCINE nawachana Live (Mubashara) nyie Viongozi wote wa Serikali wa Ngazi...
  5. Kwangu Mimi Muzamiru na Kibu ndiyo walicheza vyema Jana huku Job na Mwamnyeto wakicheza vibaya

    Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na Mazima. ANGALIZO Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na...
  6. Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  7. Mjadala wa Bandari za Tanganyika umeongeza nguvu ya kuamini kwamba Mungu wa kweli yu hai jana, leo na hata milele

    Wasalaam, Tumsifu kristo na bwana wa majeshi. Nimekuwa nikitafari sana juu ya waliofanya jambo la kuleta huu mkataba na nimepata kuamini pamoja na watawala wengi kuwa ni wafuasi wa freemasons na illuminati lakini bado nguvu ya Mungu haiteteleki. Jeuri, kibri, dharau havina nguvu mbele ya Mungu...
  8. K

    Jana nilikunywa pombe then nikanunua mayai ya kuchemsha nikala, saivi najamba mashuzi yananuka hatari

    Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi. Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala. Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii. Naomba ushauri...
  9. Matokeo ya Mandonga pale zenji jana mbona mi sijayaelewa?

    Kwa uelewa wangu mdogo wa boxing baada ya kuufatilia ni kwamba, Points zinapotangazwa mfano 56 kwa 59 bila kutaja majina ni kwamba yule bondia aliyeingia mwanzo points zake ni zile zinazotajwa mwanzo na zinazotajwa mwisho ni za bondia wa mwisho kuingia. Na hata majina yanavyoandikwa kwenye tv...
  10. Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  11. Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  12. Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda...
  13. Rais Samia amkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Hati ya Kiwanja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia Hati ya Kiwanja kilichopo Arusha kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi zao mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 14 Agosti, 2023. Rais wa...
  14. Hii haikubaliki Mkude kachangia pakubwa sana Yanga sc kupoteza kwa penalty jana

    Maelekezo aliyowapa wenzie yameigharimu timu, alafu kibaya zaidi baada ya Yanga kupoteza amekutwa chooni akicheka kwa furaha.
  15. Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  16. FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tarehe imewadia, Klabu za Yanga na Azam hapa nchini zinaenda kukiwasha Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, jiji lenye raha yake, waja leo waondoka leo. Kikosi cha Yanga kina nyota tishio wapya kama Skudu, Konkon huku Azam ikiwa na nyota wapya machachali weka mbali na watoto Feisal, Bangala...
  17. Kwa shoo ya Alikiba jana, nakubaliana na Zuhura

    Unaingia kwenye show unazurura uwanjani ukivimba kuonyesha ufalme wako. Kwanini usituonyeshe ufalme wako kwenye kazi yako. Mwisho wa siku ikawa ni makelele na uchawa mwingi.. Yaani huyu msanii hata intro tu ya show nayo ni taabu... Sijui ni kujikweza na kiburi tu..
  18. M

    Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Kwenu: vodacom: Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine. Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
  19. Watu wanasema Tundu Lissu hana shukrani!Je Shukrani ni kutoa sadaka bandari za Tanganyika kwa Mwarabu?

    Shukrani kuangalia Wazanzibar wakitoa sadaka bandari za TANGANYIKA na miundombinu yake yote kwa wajomba zao DPW ??? Huku bandari zote nane za Zanzibar kule pemba na unguja zikiwa hazipo kwenye mkataba TATA kama kweli ni mzuri wema huo wa wazanzibar kwa Tanganyika umeanza lini ?? Yaani maendeleo...
  20. Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…