jane msoga

Jane Msoga
Jane James Msoga (Jane Msoga) - Alikuwa Mwanachama wa CCM, na Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema mpaka umauti unamfika tarehe 01 Mei, 2024 katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Seko Toure.
  1. Ojuolegbha

    Chatanda awasili Mwanza kushiriki mazishi ya Jane Msoga

    📅 03 Mei, 2024 📍 Mwanza Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) amewasili Uwanja wa Ndege Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 03 Mei, 2024 kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Wilaya ya Sengerema Ndg. Jane James Msoga. Ndg Jane alifariki tarehe 01 Mei, 2024...
Back
Top Bottom