janga la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyanda Banka

    Elimu ilikuwa mkombozi wa wanawake na vijana maskini lakini janga la ajira limewarudisha kule kule kwenye utumwa

    Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na Wanawake waliowèngi na vijana kutoka familia maskini. Wanawake wengi hasa wale waliokuwa wanafanya vizuri shuleni waliona nuru ya matumaini katika maisha yao. Tayari walikuwa na mifano dhahiri ya wanawake waliosoma...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Elimu ilikuwa mkombozi wa Wanawake na Vijana maskini lakini janga la ajira limewarudisha kulekule kwenye utumwa

    ELIMU ÍLIKUWA MKOMBOZI WA WANAWAKE NA VIJANA MASKINI LAKINI JANGA LA AJIRA LIMEWARUDISHA KULEKULE KWENYE UTUMWA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Elimu ñdio ilikuwa ukombozi wakutegemewa na Wanawake waliowèngi na vijana kutoka familia maskini. Wanawake wengi hasa wale waliokuwa wanafanya...
  3. D

    Najaribu kuwaza Jakaya Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madaktari wote katika kipindi chake wakati Hayati Magufuli hata mwaka mmoja alishindwa

    Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate...
Back
Top Bottom