Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi mtihani hata kama wamebakiza elfu mbili tu.
Tunajua kwamba ada ndo inalipia gharama mbalimbali...
Tanzania ni lazima tusome nyakati. Ruhswa inaelekea imeshindikana kama tutasubiri serikali itatue hili tatizo. Lakini ni lazima mkakati uwekwe kitaifa bila hivyo tutakuwa tuna bebe maji na gunia.
Hatiwezi kama nchi kwa upande mmoja serikali inahimiza uwekezaji na utawala bora wakati huohuo kuna...
Hivi vinavyoitwa matamasha ya kikabila yanayojitokeza kwa kasi siku hizi havina afya ktk kujenga umoja wa kitaifa. Kuna ajenda gani imejificha humu? Walianza wasukuma, halafu wanaigana utafikiri sifa kumbe ni janga. Karne hii watu mnatukuza ukabila? Mnaunda vikundi vinavyohamasisha ubaguzi...
Ni Kama Movie: Hali Sio Nzuri Kabisa Kuanzia GEN EAC
Nimekuwa Nairobi hapa kati, vijana asubuhi mapema wanakunywa vinywaji vikali, mchana unakutana nao njiani wanaongea wenyewe, aisee.
Haitoshi, hili janga limehamia Tanzania kwa ujumla, hasa mji wa Dar es Salaam.
Hatujakataza kunywa, sema...
Wakuu poleni na Majukumu
Kwanza niwapongeze kwa kuendelea kuhabarishana na kuelimishana mambo mbalimbali ulimwenguni.
Hoja yangu ni juu ya hili tatizo la Usafiri kwa Wanafunzi, hasa shule binafsi ambapo ndipo hutumika zaidi magari kupeleka watoto shule.
Mosi Magari ni chakavu yasiyo na sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.