Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana
Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka Akiba ya Maneno
Ni hilo tu
Ahsanteni Sana 😂
Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na tabasamu lako, hii ndio dunia.
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
Shalom.
Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga).
Si mara ya kwanza kwa vijana hawa kusukumwa nje ya Baraza la Mawaziri ndani ya kipindi kifupi. Waliondolewa na Magufuli kwa kile...
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais Ruto wa Kenya.
Itakumbukwa kuwa Rais Ruto alimshawishi Odinga kuwania nafasi hiyo ili kuimarisha...
Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake
Ila natania tu 😃😃
Kwako Mshana Jr kilingeni Miono
Pia soma
Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe
Uteuzi na Utenguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.