Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa!
Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee.
Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂.
Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.