Ndugu zangu watanzania,
Uongozi Unahitaji kuwa na ngozi ngumu, Unahitaji kuwa na msimamo, Unahitaji kuwa mvumilivu na mwenye Subira, Unahitaji kuwa na Nidhamu ya kimaamuzi, Unahitaji kutoyumbishwa na upepo uvumao, Unahitaji kujuwa unasimamia Nini, Unahitaji kujuwa kuwa huwezi ukawafurahisha...