Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii?
Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu mnatuambia sisi tumalizane na wenye nyumba HALAFU bado hata umeme huo mnaukatakata. Hivi nyie...