Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65.
"Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu binafsi, natuma salamu...