japhet hasunga

Japhet Ngailonga Hasunga (born November 23, 1965 in Iyula village, Mbozi District, Tanzania) is a Tanzanian politician through CCM and Member of Parliament for Vwawa constituency since 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Hasunga: Mauti yalimkuta Milton Lupa wakati akienda kuripoti nafasi mpya

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kabla ya kifo cha aliyekuwa mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Milton Lupa kimetokea akiwa njiani kuripoti katika wadhifa mpya. Hasunga amesema alizungumza naye siku tatu kabla kuhusu uhamisho wake kutoka katika...
  2. Japhet Hasunga (Mbunge wa Vwawa): Tatizo la Ajira litakuwa bomu kubwa lisipowekewa mikakati

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa, litakuja kuwa bomu kubwa. Amefafanua, "Serikali imesema itatoa Ajira zaidi ya 32,000 lakini hiyo itakuwa...
  3. J

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  4. Waziri Japhet Hasunga: Serikali kuanzisha Mamlaka rasmi itakayosimamia mazao ya mboga na matunda nchini (Horticulture)

    Waziri wa kilimo Mhe. Japhet Hasunga ameihaidi menejimenti ya Tanzania Horticultural Association (TAHA) ushirikiano katika kukuza tasnia ya horticulture nchini Ahadi hiyo imetolewa na mhe.Hasunga alipotembelea ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo zilizoko mkoani Arusha Akitoa maelezo mafupi...
  5. B

    Mamlaka ya Maji Dar es Salaam na tatizo sugu la kupasuka kwa mabomba ya maji

    Ni miaka sita sasa tangu nianze kuishi Dar es Salaam, wilaya na kata ya Ubungo mtaa wa msewe. Tangu nianze kuishi mtaa huu kila siku mabomba ya maji yanaharibiwa na kusababisha upotevu mkubwa wa maji. Na ha DAWASA wanapokuja kurekebisha kasoro hizo, mabomba hupasuka tena kabla hawajafika makwao...
  6. Mkakati mwingine wa kuendeleza mpunga waja

    Serikali imezindua mkakati wa taifa wa awamu ya pili wa miaka 10, wa kuendeleza zao la mpunga nchini ili kuhakikisha wanafikia hekta milioni moja ifikapo mwaka 2025. Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ambapo alisema lengo ni kuona wanaongeza uzalishaji wa zao la mpunga...
  7. S

    Mazao ya kimkakati na changamoto za masoko na kitaasisi

    Habari Tanzania! Leo naomba nilete mada inayohusu changamoto zinazojitokeza katika Mazao ya Kimkakati yanayolimwa katika mikoa mbalimbali kama vile: Korosho, Chai, Kahawa, Alizeti, Mawese, Karanga, Nazi, Ufuta, Mkonge n.k Changamoto zinazokumba mazo haya ni za Kimasoko na Kitaasisi, sasa...
  8. Taarifa kwa umma kuhusu wakulima kutumia mvua za msimu zilizoanza kunyesha na za vuli kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi

    Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…