Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani.
Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila Odinga uliandikia ICC barua ukitaka Mahakama hiyo kufungua jalada la uchunguzi kutokana na nguvu nyingi...