japhet matarra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Muhimbili: Eng Matala avamiwa na kuchinjwa. Aponea chupuchupu

    Hii ni hatari saana.
  2. JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa, Viongozi na Wanaharakati waache kugombania wananchi wanaokumbana na mkono wa sheria ili kujinufaisha

    Salaam wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria. Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mtandao wa X unavyowanusuru wahanga wa unyama wa watala wa CCM

    Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani kijana huyo. Matarra alihukumiwa Juni 2023 na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Moshi, mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…