Forbes ni gazeti la kibiashara la Marekani ambalo huchapishwa mara mbili kwa wiki, huku likiangazia masuala ya fedha, viwanda, uwekezaji na masoko. Forbes pia humulika mambo yanayoendana na hayo, yakiwamo masuala ya teknolojia, mawasiliano, sayansi, siasa na sheria. Washindani wao katika...