PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU
VERSE..1
Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...