jason darulo wa kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  2. Hawa vijana wamegoma kulima

    Ukifanya uchunguzi yakinifu utagundua kuwa hawa vijana wamekataa kulima na wameamua kuforce kuishi mjini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…