Basi bwana, baada ya kifo cha Jasusi mbobezi zilipenya za chini ya kapeti kuwa Jasusi karestishwa.
Watu wakachimba zaidi kutaka kujua kulikoni Jasusi kujasusiwa?.
Wanyetishaji wa kijiweni wakadai kuwa Jasusi kapigwa faulo moja matata kama Salum Kabunda au Roy Kean ndiyo maana kavuta...