Jatu (Persian: جتو, also Romanized as Jatū) is a village in Marz Rural District, Chah Dadkhoda District, Qaleh Ganj County, Kerman Province, Iran. At the 2006 census, its population was 21, in 5 families.
Ama kweli dunia inakwenda kasi sana.
Kwamba Dkt. Slaa, balozi wa Hayati Magufuli leo yuko korokoloni tena chini ya awamu ya 6?
Ikumbukwe hata kina Mbowe hayakuwakuta ya kuwakuta kwenye awamu ile.
Kwa hakika Mh. Kikwette, hata asipoyasemea kwa mara nyingine tena.
Chonde chonde enyi mlioko...
Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili.
Gesaya...
Peter Gasaya (33) anayekabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kujipatia Tsh. Bilioni 5.1 kwa njia ya udanganyifu, amemwandika Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania (DPP) barua ya kukiri na kuomba apunguziwe adhabu.
Gasaya alishtakiwa kwa makosa ya kujipatia fedha hizo kutoka katika Saccos ya JATU...
Upande wa mashtaka wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa upelelele wa kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kiasi cha Sh5.1 bilioni, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya (32) umekamilika.
Wakili wa Serikali, Jaribu Bahati ameieleza Mahakama...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya aliyotaka apunguziwe masharti ya dhamana ili aweze kudhaminiwa.
Gusaya anakabiliwa na shtaka moja la kujipatia Sh 5.1bilioni kutoka katika Saccos ya JATU kwa madai kuwa fedha...
Nimekutana na hili tangazo kwenye group moja la whatsup. Nadhani kwenye mkutano huu vyombo vya dola viwepo na wahusika wa kusaidia wananchi kuondokana na fikra potofu - kudanganya kilimo kinafanywa kwa njia ya simu na kuwekeza mahela bila kufanikiwa, wapewe haki zao!
Mauza uza kama haya 2023...
Tanzania haiishi vituko.
Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC.
Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90.
Angalia hapa.
Swali la kujiuliza, kabla ya...
Ndugu zangu,
Jana nimepata wasaa wa kuzungumza na mdau mmoja akanielezea namna amesikia hii issue ya Kalynda na kuilinganisha na kile kinachoendelea JATU!
Tayari nimeona nyuzi kadhaa zilileta hii issue mpaka pale serikali ilipotoa tamko lakini mzee wa watu ambae ni mwanachama wa hii JATU...
Ilikuja Q-NET tukaona Waziri Kigwangala akihusika ufunguzi wa ofisi
Ukienda Website ya JATU unakutana na picha kubwa ya Mzee Pinda na Waziri Mhagama.
Lakini mwisho wa siku ni wananchi kulia kutapeliwa pesa zao. Hawa viongozi wametumika kujenga imani za wananchi kutoa pesa zao.
Bado najiuliza...
Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu na kuwauzia mazao yao wao wasubiri faida tu.
Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza.
Wakati huo huo wanasema...
Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
Jatu PLC imeanza kunuka wizi mapema kabla hakuja kucha tayari wakulima wadogo wanadai hela zao za mazao hawajalipwa kwa muda mrefu huku wakulima wakubwa pia wakidai hela zao.
Bidhaa zimeshuka Bei haswa maharage Wana nunua kwa Bei chini ya kiwango walichosema mbali na kwamba walisema mazao yana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.