Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji anao ufanya.
Nashangaa mamlaka husika zimelala, haiwezekani ujiite PLC then uendeshe mambo gizani...