jay-z

  1. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  2. Aramun

    "Video Chafu" ya Jay-Z yavuja mitandaoni

    Naomba JamiiCheck watatusaidia kuiverify hiyo video, ila kutokana na sababu za kimaadili sitaipost hiyo video hapa, ila kwa atakayeihitaji asisite kuja PM. Video hiyo inamuonesha Jay-Z akiwa na mtu mwanaume mwingine anayedhaniwa kuwa ni rapa Kidkud wakiwa wamekaa katikati ya wanawake 4...
  3. BARD AI

    Forbes 2024: Michael Jordan, JAY-Z, Lebron James, Rihanna watajwa orodha ya Mastaa wenye Utajiri Mkubwa duniani

    1. Michael Jordan Utajiri: Tsh. Trilioni 8.2 | Miaka: 61 | Uraia: Marekani. 2. Oprah Winfrey Utajiri: Tsh. Trilioni 7.2| Miaka: 70 | Uraia: Marekani. 3. Jay-Z Utajiri: Tsh. Trilioni 6.4| Miaka: 54 | Uraia: Marekani. 4. Kim Kardashian Net Worth: $1.7 Billion | Age: 43 | Citizenship: U.S. 5. Tyler...
  4. Msela Wa Kitaa

    Rick Ross Featuring Jay-Z & John Legend-FREEMASON

    This is for the soldiers that see the sun at midnight, ya dig Let me slow down (it's so incredible) Rick Ross verse I go to the grave before i be a bitch nigga. Better behave, you dealin' with some rich niggas. We done lost symbols speakin' cryptic codes. Ancient wisdom, valuable like gifts of...
  5. JanguKamaJangu

    Marekani: Jay-Z atajwa kwenye mpango wa kuinunua Tottenham

    Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86) anakabiliwa na masuala ya kisheria kuhusu biashara zake na alifikishwa Mahakamani Julai 26, 2023...
  6. BARD AI

    Jay-Z, Rihanna na Lebron James watajwa kwenye orodha ya Forbes ya Mabilionea wa Dunia

    Kupitia orodha hiyo inayojumuisha Matajiri 2,640 wakiongozwa na #BernardArnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9 akifuatiwa na #ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. 421.3 na #JeffBezos mwenye Trilioni 266.8. Kwa upande wa Mastaa, #JAYZ yuko nafasi ya 1217 akiwa na Tsh...
  7. H

    Ed Sheeran Tells Rolling Stone

    Ed Sheeran tells Rolling Stone that he wanted Jay-Z to be on “Shape Of You.” “I sent him the song, and he said, ‘I don’t think the song needs a rap verse.’” “He was probably right. He’s got a very, very good ear. He usually gets things right. It was a very natural, respectful pass.”
Back
Top Bottom