Ndugu zangu watanzania,
Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump amemteua mgombea Mwenza wake Mwenye Umri wa Miaka 39 anayefahamika kama J.D Vance ambaye amewahi kutoa maneno makali sana kumtupia Trump mwaka 2016 wakati wa kinyang'anyiro cha Urais japo alikuja akajutia maneno yake miaka...