Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu.
Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...