Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kwa miaka 10.
Mwingine ni Vital Kamerhe ambaye anakuwa Waziri wa Uchumi...