Mjadala mkali umeibuka katika kipindi cha In the House of DCP kilichopeperushwa na Citizen TV, ambapo mwanahabari Jeff Koinange alimhoji Naibu Kiongozi wa Democratic Party of Kenya (DCP), Cleophas Malala, kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa nchini.
Katika mahojiano hayo ya ana kwa ana, Malala...