Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo.
Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
Tanzania chini ya CCM imeshindwa kabisa kukibadilisha kilimo cha wananchi wake. Nakiri kusema toka imepata uhuru wake mwaka 1961 imekuwa na wakulima wadogo wadogo wanaolima kwa kutumia jembe la mkono na mbolea ya kubahatisha miaka yote mpaka leo 2023.
Kilimo hicho ni kigumu sana kwani...
Babu yangu Mzee Mkulima alijulikana sana kijijini kutokana na jitihada zake katika kilimo. Ingawa jamii yetu ilikuwa na uchaguzi wa mazao ya kilimo, na tulipendelea haswa kahawa, ndizi na magimbi; Babu alijaribu kulima kila kitu. Kuna wakati alitoka kwetu milimani na kwenda kujaribu kilimo cha...
Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa
Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari.
Tanzania ni nchi yenye misitu
Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi
Tanzania ni nchi yenye...
Wakuu habari za mchana,
Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono.
Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO
Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao,
Tuachane na hayo maana...
Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono.
Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.