Watajwa hapo juu tangu juzi hadi leo baada ya habari ya Yanga kuandika barua kuomba pointi 3 kutoka Bodi ya Ligi, Mmekuwa kwa kujiamini mkidai kuwa Yanga hawezi kupata pointi hizo kwakuwa Mechi iliahirishwana na Bodi ya Ligi na Simba asingeweza kupeleka timu uwanjani wakati mchezo umeahirishwa...
Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
Jemedari said kasema uwezo wa wachezaji toka nje waliosajiliwa Simba na Yanga , uhalali wao wa kusajiliwa unatakiwa uonekane kwenye mechi za kimataifa na siyo kwenye mechi za ndani ya nchi.
Ana hoja, asikilizwe.
JKT ilimpa kazi Jemedari ya kuwa mtendaji wake mkuu lakini pia jamaa ni mwajiriwa wa Crown FM, unajua being a CEO is a big task, mipango yote ya klabu iko kwako, Sasa huyu jamaa ukimsikiliza anapokuwa hewani anavyoshambulia watu personal badala ya issues unaweza sema ni msomi au pundit katika...
Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili?
Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini.
Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
🛑JEMEDARI SAIDI
Niliposema Mayele ni overrated na ni striker wa kawaida mlidhani natania, nadhani kila mtu ameshuhudia jinsi alivyo wa kawaida sema anapambwa tu na Gongowazi FC.
Msimu wa pili mfululizo sasa Mayele anakosa kiatu cha ufungaji bora NBCPL, mwaka jana kwa George Mpole mwaka huu kwa...
Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake.
Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna.
Ila kwenye...
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.
Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo...
Mtangazaji Maulid Kitenge
Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?
Mchambuzi Jemedari Said
Ushahidi wa Tuhuma za Haji Manara ziko wazi na hata Yeye Mwenyewe amekiri kupitia Msamaha wake aliouomba na Kuukiri.
Mtangazaji Maulid Kitenge...
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.