jenerali muhoozi kainerugaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jenerali Muhoozi Kainerugaba: Ofisi yangu kuanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa mujibu wa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Yoweri Museveni. Muhoozi alisema kuwa wakurugenzi wakuu wa...
  2. Gen.Muhoozi: Hakuna Raia Atawahi Kuwa Rais Uganda

    My Take Na ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ