jengo la kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Rais Samia anakula na waokoaji lakini ripoti ya kuporomoka jengo la Kariakoo iko wapi? Ni kama ripoti ya kuungua soko la Kariakoo

    Wakuu, Kuna namna viongozi wetu wanatuchukulia sisi ni wasahaulifu au hatutilii maanani yale maneno ambayo wanayasema. Wanatuchukuliaje? Baada ya jengo la kariakoo kuanguka tuliambiwa kuna tume inaundwa chini ya usimamizi wa Majaliwa ili kujua kinagaubaga cha jengo hilo kuporomoka, lakini...
  2. S

    Kama jengo la Kariakoo ni miongoni ya yaliyosemwa kujengwa kinyume cha kanuni na Tume ya Lowassa, serikali ishitakiwe ili ifidie wahanga mabilioni!

    Kamati iliyoteuliwa mwaka 2006 na Waziri Mkuu wa wakati huo Edward Lowassa, ilibaini kuwa majengo 147 kati ya 505 yaliyokaguliwa jijini hayakuwa nyaraka na vibali sahihi vya ujenzi. Yalijengwa kiholela na bila viwango na kuwa hatarishi kwa uhai wa watu. Mnamo mwaka 2008, Waziri Mkuu, Mizengo...
  3. Mindyou

    Mmiliki wa jengo la Kariakoo tayari amekamatwa. Kwanini anafichwa?

    Wakuu, Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo, na kusababisha vifo vya watu 29 pamoja na majeruhi kadhaa, tayari...
  4. Inside10

    Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  5. N

    Olengurumwa: Licha ya jitihada zinazofanyika lakini zoezi la uokoaji Kariakoo lilikuwa 'slow'

    Mratibu wa Mtandao wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Tanzania, Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba licha ya jitihada ambazo zimefanyika katika zoezi la uokoaji kwenye gorofa liloporomoka Karikoo amedai kwamba zoezi hilo limeonekana kwenda taratibu (slow). Akizungumzia tukio hilo...
  6. S

    Hivi mpaka sasa kuna yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya gorofa kuanguka?

    Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo kuna mtu yoyote anashikiliwa na Polisi baada ya Jengo la gorofa kuanguka huko Karikoo tarehe 16 mwezi huu wa November. Kwa uelewa wangu, kuna watu watapaswa kusaidia upelelezi, hivyo ni lazima wawe chini ya ulinzi vinginenyo wanaweza kukimbia. Waandishi wa...
  7. J

    Kiukweli Kariakoo hakunaga mfanyabiashara wa Kujenga ghorofa lenye Viwango, hawana fedha hizo. Angalia gharama ya ukarabati wa Soko la Serikali!

    Kariakoo ni Mji mkongwe na ukitaka kujenga ghorofa Basi ujue itapita miaka 100 bila kurudisha gharama ya uwekezaji, Wataalam wa RoI mnaelewa Vizuri Hii ndio sababu maghorofa yote ya kariakoo Yako chini ya Viwango Unadhani kwanini NHC hawabomoi Nyumba zao za Kariakoo na kujenga ghorofa na...
  8. Influenza

    Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  9. 6 Pack

    Mwenye jengo akamatwe, eneo liuzwe, mali zake zifilisiwe, halafu hela zote wapewe majeruhi na waliofiwa

    Niaje waungwana Kwa kile kilichotokea jana hapo K'koo, mimi nashauri kwanza mwenye ghorofa lililoanguka akamatwe, mali zake zifilisiwe, na kiwanja kilichokuwa na jengo kiuzwe ili hela zitakazopatikana zitumike kuwasaidia wale wote waliojeruhiwa na waliofiwa na baba zao, wame zao, wake zao...
  10. The bump

    Tujifunze kitu kwa tukio hili na mengine yote yajayo

    1. Heshimu na Mthamini kila Mtu Bila Upendeleo Tunaona namna gani Tukio la kariakoo lilipotokea waliosaidia wenzao ni wale watu wa kawaida kabisa wa maisha ya kawaida na wala si matajiri au watu wenye uwezo,hii inatoa picha kwamba kwenye maisha Tujifunze kuthaminiana na kuheshimiana. 2.Uwe na...
Back
Top Bottom