jengo la uwanja wa ndege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu Waziri Kihenzile: Abiria laki nne kuhudumiwa kwa mwaka Arusha Airport

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia Kiwanja hicho kwa mwaka. Kihenzile ameyasema hayo baada ya kukagua maendeeleo ya mradi wa jengo la abiria katika kiwanjani...
  2. T

    Mtanda fuatilia kwa karibu mradi wa jengo la uwanja wa ndege la kimataifa Mwanza, limesimama tena

    Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa. Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…