Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mgolobyo, Kijiji cha Mgolobyo Kata ya Miganga mkoani Singida wameelezea Furaha yao mara baada ya kupokea Taulo za kike ( Pads) kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa Wa Singida Mhe. Jesca Kishoa na kusaidia kuepukana na gharama za kununua taulo hizo za kike...
Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga, Nduguti, wilayani Mkalama, Singida, alikozaliwa.
Baada ya kupiga kura, Kishoa amesema, "Leo nimetumia...
Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi?
Ujumbe wake huu hapa
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida, Jesca Kishoa Jesca Kishoa amewaomba Wakazi wa Kata ya Gumanga kuwa na imani na Rais wa Tanzania, Dkt...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bwana Chongolo.
Kishoa akihutubia mkutano huo wa hadhara wa ccm alianza na maneno haya, nanukuu " CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.