jesca mtambasavangu

Jesca Mtambasavangu
Jesca Mtambasavangu (1975) ni Mwanasiasa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewahi kuwa Diwani wa kuchaguliwa Kata ya Kitanzini, mwaka 2012-2017 alikuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa, na 2020 alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini.
  1. Cute Wife

    Mngetumia nguvu za kuwapangia wanafunzi jinsi ya kutumia boom lao kuhakikisha wanaostahili wanapata mkopo 100% (au kusoma bure) tungewaona wa maana

    Salaam Wakuu, Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
  2. ChoiceVariable

    Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
Back
Top Bottom