Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake.
Watafiti wa China wanasema wamegundua udhaifu unaowezekana wa ndege hiyo katika utafiti wa vita vya majaribio vinavyohusisha Taiwan...