jeshi la drc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Waasi wa M23 waanza tena mashambulizi dhidi ya Jeshi la DRC baada ya kusitisha kwa siku mbili

    Waasi wa M23 wameanza tena mashambulizi dhidi ya vikosi vya jeshi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mapigano kusimama kwa siku mbili. Soma Pia: Mamia ya wanajeshi wa Rwanda wanaosaidia waasi wa M23 wadaiwa kuuawa vitani DRC Mapigano yalianza alfajiri ya Jumanne karibu na...
  2. MBOKA NA NGAI

    Barua ya wazi kwa Rais wa CHAD: Chad kupeleka wanajeshi Congo ni upoteza muda, wakati na utulivu nchini humo!

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Mahamat Idriss Déby Itno Rais wa Jamhuri ya Chad Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa kwa kujitolea kwenu katika juhudi za amani na utulivu barani Afrika, tunajiunga nanyi leo. Tumepokea habari kuwa Chad inajiandaa kutuma wanajeshi wake katika Jamhuri ya Kidemokrasia...
Back
Top Bottom