IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.
Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu wa operesheni za Hamas nchini Lebanon, kwa mujibu wa jeshi na Shin Bet.
IDF inasema Shaheen...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut
===============
Iran’s IRGC Quds Force has been smuggling cash to the Hezbollah terror group in Lebanon via the Beirut international airport in...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF ilieleza kuwa hospitali hiyo imekuwa ngome kuu ya wanamgambo wa Hamas na imetumika kwa shughuli zao tangu...
Shambulio la alfajiri ya leo, la jeshi la Israel, tunaambiwa limehusisha ndege 100. Ndege zimeshambulia, na zote zimerudi salama. Ina maana, jeshi la Iran limeshindwa kudungua hata ndege moja ya Israel. Jambo kama hilo la kwenda kumshambulia adui yako kwa ndege, sidhani kama Iran inaweza kuthubu...
Wanaukumbi.
BREAKING: Jeshi la Israel limetangaza MWISHO wa mashambulizi yake ya ardhini nchini Lebanon, kukamilika ndani ya wiki 1 hadi 2, baada ya hasara kubwa.
Huku ni kushindwa kwa aibu.
Chanzo: Channel 11/Kann News
=========================...
Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7.
Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye chanzo youtube nikakuta imefutwa.
Kwa kile wanachosema watu hapa kwamba Hamas ni human shield, kwamba...
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa
MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita
Mungu ibariki Israel
=========
IDF says it killed head of elite Hezbollah anti-tank missile array...
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.
Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel laagiza kuwa wakazi wa vijiji 22 vilivyoko kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao mara moja na kamwe wasithubutu kurejea huko kwa Usalama wao
Kazi ya kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwenye maeneo hayo ya vijiji kusini mwa Lebanon inaendelea...
Mimi na familia yangu leo ifikapo saa mbili kamili usiku tutakuwa sebuleni tukiangalia makala maalum iliyoandaliwa na kitengo cha utafiti wa habari cha Al Jazeera (Al Jazeera Investigation Unit) kama kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kuanza kwa vita baina ya Palestina na israeli.
Katika makala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.